Posts

Nusra ya ndoa Tanzania.

 Unahitaji nusra ya ndoa? Kama jibu lako basi hii ni habari njema sana kwako.  Hii ni blogu maalumu kwa ajili ya kuwakutanisha na Akhty na ukhty wote wanao tafuta nusra ya ndoa.  Utaratibu wetu ni kuwaunganisha watu bure kabisa bila malipo yoyote.